Nafasi za Ajira Jeshi la Polisi na Vigezo Vyake. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, April 17, 2018

Nafasi za Ajira Jeshi la Polisi na Vigezo Vyake.

Tangazo hili la April 16, 2018 ambapo Jeshi la Polisi nchini Tanzania linatangaza nafasi za ajira kwa mwaka 2017/2018 kwa Vijana waliopita Mafunzo ya JKT/JKU ambao wamemaliza mafunzo ya awali katika Operesehi Kikwete na Operesheni Magufuli wenye Elimu ya Kidato cha nne, Cha sita, Astashahada, Stashahada, Shahada ya juu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad