Kagera Sugar yawafumua Mtibwa Sugar 2-1 – Kaitaba. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, April 16, 2018

Kagera Sugar yawafumua Mtibwa Sugar 2-1 – Kaitaba.

Kagera Sugar imetumia vyema Uwanja wa nyumbani wa Kaitaba mjini Bukoba mkoani Kagera baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar.

Katika Mchezo huo ulianza kwa kasi, mabao ya Kagera Sugar yote yalifungwa na Jaffar Kibaya dakika za 45 na 53, huku la wageni Mtibwa Sugar likifungwa na Salum Kihimbwa dakika ya 26.

mechi nyingine ni kwa Ruvu Shooting imeibuka na ushindi wa 3-1 ugenini dhidi ya wenyeji, Ndanda FC Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad