Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi
Kigwangalla akiongozana na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashugwa
kukagua Pori la Akiba Kimisi wakati wa ziara yake ya kutatua migogoro ya ardhi
kwenye maeneo ya hifadhi katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera Jana March 1,2018.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi
Kigwangalla akizungumza na baadhi ya viongozi wa kijiji cha Mwisheni alipofika
kukagua Pori la Akiba Kimisi wakati wa ziara yake ya kutatua migogoro ya ardhi
kwenye maeneo ya hifadhi katika Wilaya hiyo mkoani Kagera jana.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi
Kigwangalla akiongozana na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashugwa
kukagua Pori la Akiba Kimisi wakati wa ziara yake ya kutatua migogoro ya ardhi
kwenye maeneo ya hifadhi katika Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera Jana March 1,
2018.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi
Kigwangalla akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Godfrey Mheluka wakati
akikagua Pori la Akiba Kimisi akiwa kwenye ziara yake ya kutatua migogoro ya
ardhi kwenye maeneo ya hifadhi katika Wilaya hiyo mkoani Kagera jana.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi
Kigwangalla akionyesha mpaka wa Pori la Akiba Kimisi wakati wa ziara yake ya
kutatua migogoro ya ardhi kwenye maeneo ya hifadhi katika Wilaya hiyo mkoani
Kagera jana. Kulia ni Mkuu wa Karagwe, Godfrey Mheluka na Mbunge wa Karagwe,
Innocent Bashungwa (kulia kwake).
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi
Kigwangalla akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ngara, Lut. Col. Michael Mutenjele
(kushoto) wakati wakivuka kivuko cha Ruvuvu wakati wa ziara yake ya kutembelea
na kutatua migogoro ya ardhi kwenye maeneo ya hifadhi katika Wilaya hiyo mkoani
Kagera jana.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi
Kigwangalla akiangalia baadhi ya mifugo iliyokamatwa ndani ya Pori la Akiba
Kimisi wakati wa ziara yake ya kutatua migogoro ya ardhi kwenye maeneo ya
hifadhi katika Wilaya Ngara mkoani Kagera jana. (Picha na Wizara ya Maliasili
na Utalii).
No comments:
Post a Comment