Taswira Picha Stadi za kazi kwa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Buhororo-Ngara Kagera. - Mwana Wa Makonda

Breaking

X-BET


Post Top Ad

Friday, June 02, 2017

Taswira Picha Stadi za kazi kwa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Buhororo-Ngara Kagera.

Ni wanafunzi wa kike na wa kiume wa Darasa la Tatu hadi la Saba wa shule ya msingi Buhororo iliyopo wilayani Ngara mkoani Kagera wakitengeneza zana mbalimbali kupitia somo la Stadi za Kazi kwa ajli ya kupata alama kwenye Mitihani yao kwa Vitendo.

 Picha Na-Shaban Ndyamukama.Post Bottom Ad