TFF imeirudishia Kagera Sugar point 3 toka kwa Simba SC, hakuna kukata rufaa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, April 23, 2017

TFF imeirudishia Kagera Sugar point 3 toka kwa Simba SC, hakuna kukata rufaa.

Kagera Sugar uwanjani Kaitaba-Picha na Maktaba yetu.

Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka Tanzania TFF, Selestine Mwesigwa ametangaza maamuizi yaliyofikia na kamati ya sheria na hadhi za wachezaji kuhusu Simba SC kupewa point 3 dhidi ya Kagera Sugar kwa madai ya kuchezeshwa mchezaji Mohamed Fakhi aliyedaiwa kuwa kadi 3 za njano.

 Selestine Mwesigwa ametangaza maamuzi hayo katika makao makuu ya TFF na kusema Simba SC imepokonywa point tatu na hakuna nafasi ya kukata rufaa kutokana na kikao cha bodi ya Ligi kilichotoa maamuzi ya awali kilikuwa kinyume kisheria.

Bonyeza Play hapa chini Kumsikiliza zaidi.

Post Bottom Ad