Soma Neno la BMT kuhusu kinachoendelea kati ya Simba SC na TFF. - Mwana Wa Makonda

Breaking

X-BET


Post Top Ad

Saturday, April 22, 2017

Soma Neno la BMT kuhusu kinachoendelea kati ya Simba SC na TFF.

Mohamed Kiganja Katibu Mkuu wa BMT.

Simba SC wametangaza kufanya maandamano ya amani siku ya Jumanne ya April 25,2017 kutoka makao makuu yao Kariakoo hadi Wizara yenye dhamana ya Michezo kupeleka malalamiko yao, kufuatia malalamiko hayo ya Simba SC, Baraza la Michezo Tanzania BMT kupita Katibu Mkuu wake Mohamed Kiganja wameagiza mambo matano yafanywe na TFF na Simba SC.Post Bottom Ad