Hivi ndivyo Viwanja vya ndege 20 vilivyotumiwa na Watu wengi zaidi Mwaka 2016. - Mwana Wa Makonda

Breaking

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, April 25, 2017

Hivi ndivyo Viwanja vya ndege 20 vilivyotumiwa na Watu wengi zaidi Mwaka 2016.

Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege limetoa Orodha ya Viwanja vya ndege 20 ambavyo vinahudumia idadi kubwa ya Wasafiri Ulimwenguni  ambao walifanya safari za anga kwa mwaka ulioisha wa 2016.

 Katika Orodha hiyo, Uwanja wa ndege wa Atlanta, Marekani unaongoza kwa kutoa huduma kwa abiria milioni 104,171,935 na nafasi ya 20 ikishikiliwa na Bangkok Suvarnabhumi, Thailand ukitoa huduma kwa abiria 55,892,428.


Listi kamili isome hapa chini;


   1. Atlanta, Marekani – abiria 104,171,935


    2.Beijing – China – abiria 94,393,454


    3.Dubai International (DXB), Falme za Kiarabu – abiria 83,654,250


    4.Los Angeles (LAX), Marekani – abiria 80,921,527


    5.Tokyo Haneda (HND), Japan – abiria 79,699,762


    6.Chicago O’Hare (ORD), Marekani – abiria 77,960,588


    7.London Heathrow (LHR), Uingereza – abiria 75,715,474


    8.Hong Kong (HKG), China – abiria 70,305,857


    9.Shanghai (PVG), China – abiria 66,002,414


    10.Paris Charles de Gaulle (CDG), Ufaransa – abiria 65,933,145


    11.Dallas/Fort Worth (DFW), Marekani – abiria 65,670,697


    12.Amsterdam (AMS), Uholanzi – abiria 63,625,534


   13. Frankfurt (FRA), Ujerumani – abiria 60,786,937


    14.Istanbul (IST), Uturuki – abiria 60,119,876


    15.Guangzhou, China (CAN) – abiria 59,732,147


    16.New York JFK (JFK), Marekani – abiria 58,873,386


    17.Singapore (SIN) – abiria 58,698,000


    18.Denver (DEN), Marekani – abiria 58,266,515


    19.Seoul Incheon (ICN), Korea Kusini – abiria 57,849,814


    20.Bangkok Suvarnabhumi (BKK), Thailand – abiria 55,892,428

Post Bottom Ad