Picha-Zoezi la Upasuaji bila Gharama Watoto wenye mdomo sungura lafanyika Hospitali Teule Biharamulo. - Mwana Wa Makonda

Breaking

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, April 25, 2017

Picha-Zoezi la Upasuaji bila Gharama Watoto wenye mdomo sungura lafanyika Hospitali Teule Biharamulo.


Zoezi la Upasuaji bila gharama Watoto wenye mdomo sungura  kutoka ndani na nje ya Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara.

Upasuaji huo unafanyika katika Hospitali teule ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera,kuanzia April 24 hadi April 30,2017 chini ya Madaktari Bingwa wa Upasuaji Mdomo Sungura kutoka Rwanda,Uganda wakishirikiana  na Dr Prosper Malya wa Hospitali ya Misheni Rulenge/Ngara-Kagera chini ya Ufadhali wa Shirika la Kijerumani.

Habari/Picha na -Shaaban Nasib Ndyamukama.Dr Gresimus Sebuyoya ,Mganga Mkuu wa Hospitali teule ya wilaya ya Biharamulo mkoani KageraPicha juu na chini  Zoezi la Upasuaji bila gharama Watoto wenye mdomo sungura  kutoka ndani na nje ya Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara ukiendelea katika Hospitali teule ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera,kuanzia April 24 hadi April 30,2017 chini ya Madaktari Bingwa wa Upasuaji Mdomo Sungura kutoka Rwanda,Uganda wakishirikiana  na Dr Prosper Malya wa Hospitali ya Misheni Rulenge/Ngara-Kagera chini ya Ufadhali wa Shirika la Kijerumani.
Post Bottom Ad