pesaaa

DSTV

Header Banner

Taswira Picha Rais Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Shein walipokutana kwa mazungumzo Ikulu ya Chamwino.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein walipokutana kwa mazungumzo Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma Jana Jumatatu Machi 13, 2017.

Picha na IKULU