Taswira Picha Ajali ya Basi la FREY'S toka Arusha kwenda Tanga maeneo ya maili sita Moshi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, March 25, 2017

Taswira Picha Ajali ya Basi la FREY'S toka Arusha kwenda Tanga maeneo ya maili sita Moshi.

Ripoti  kutoka eneo latukio,inasema kwamba amefariki Mwanamke mmoja PAULINA PAULO miaka 20 mkazi wa Tengeru,Arusha na Majeruhi zaidi ya 30.

Chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi wakati Dereva wa basi hilo akijaribu kulikwepa basi dogo la abiria lililosimama kushusha abiria likasababisha Dereva wa basi kufunga breki ghafla na kumshinda kwa kuteleza kutokana na eneo kuwa na unyevu unyevu uliosababishwa na mvua kunyesha  na kugonga gema la barabara na kupinduka.

Dereva yuko mikononi mwa Polisi.

Picha zote kwa hisani ya -TanzaniaBound Buses.
Post Bottom Ad