Watu 2 wameuawa na Wengine 2 kujeruhiwa kwa risasi baada ya majambazi kuteka basi -Kasulu/Kigoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 09, 2017

Watu 2 wameuawa na Wengine 2 kujeruhiwa kwa risasi baada ya majambazi kuteka basi -Kasulu/Kigoma.

Watu wawili wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa kwa risasi baada ya watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wakiwa na silaha kuteka basi dogo la abiria lililokuwa likitokea kijiji cha Kitanga kilicho mpakani na Burundi kwenda Kasulu mjini,mkoani Kigoma, tukio ambalo limepelekea kukamatwa kwa wahamiaji haramu 168 kijijini hapo.

Tazama Taarifa zaidi kwa Kubofya Play hapa Chini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad