Kiswahili Chapitishwa na Bunge la Rwanda kuwa Lugha rasmi ya Taifa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 09, 2017

Kiswahili Chapitishwa na Bunge la Rwanda kuwa Lugha rasmi ya Taifa.

Wabunge nchini Rwanda Hapo Jana February 08,2017, waliipitisha sheria ya kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya rasmi.

Lugha ya Kiswahili  nchini Rwanda kitaungana na Kinyarwanda, Kiingereza na Kifaransa, kama Lugha ya nne rasmi ya nchi hiyo. Kwa sasa Lugha hiyo itatumika kwenye shughuli za Uongozi na kitaonekana kwenye baadhi ya nyaraka za kiofisi.


Lugha hiyo pia itaingia kwenye mitaala ya elimu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad