(Valentine Day)-Njoo na Umpendaye Mtembee juu ya Carpet Jekundu- MPH NIGHT CLUB –Ngara/Kagera-Mshindi Kuibuka na Zawadi Nono. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 09, 2017

(Valentine Day)-Njoo na Umpendaye Mtembee juu ya Carpet Jekundu- MPH NIGHT CLUB –Ngara/Kagera-Mshindi Kuibuka na Zawadi Nono.


Siku ya wapendanao ni Sikukuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14 Februari ya kila mwaka (Valentine Day).

Kiwanja chako kipya na cha kisasa hapa Mjini Ngara/Kagera  cha Moorland Premier Hotels Limited kinakuletea Burudani nzuri kwa Wapendanao, Ya aina yake na ya kusisimua usiku wa wa Wapendanao-(Valentine Day)-kwa kiingilio cha Tsh.5,000/=.

Usiku huo wa (Valentine Day) utapambwa na burudani ya hatari kutoka Team Zero to Hero Wakisindiza show ya LIVE wakiwa na KANGA MOKO.

Pia Wewe Mteja wetu ukiwa na Umpendaye katika kiwanja chetu cha MPH NIGHT CLUB tarehe 14.2.2017 (Valentine Day)-Njoo na umpendaye mtembee juu ya Carpet Jekundu mjishindie zawadi nono ya valentine day na kushangweka hadi majogooo.

Usipomtarifu umpendaye atakulaumu.....karibuni san.

Post Bottom Ad