Kyunga alisema tangu jana asubuhi jitihada
mbalimbali za kuondoa udongo kuwaokoa watu hao zinaendelea wakitumia mitambo na
wataalamu.
“Kwa
kusaidiana na Kampuni ya Geita Gold Mine
(GGM) na wataalamu wengine, jitihada zinaendelea ili kuhakikisha tunawaokoa
watu hao,” alisema Kyunga.
Alisema
wakati huo huo wamefanikiwa kutoboa eneo jingine na kupitisha mabomba ya hewa
ya oksijeni ili kuwafanya watu hao wasikose hewa.
|
Friday, January 27, 2017
Sababu ya Watu 14 Akiwamo Mchina Kufukiwa na Kifusi Mgodini -Geita.
Tags
# MATUKIO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MATUKIO
Labels:
MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment