Diego Costa aiwezesha Chelsea kuiua bao 1-0 Crystal Palace Ligi Kuu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, December 17, 2016

Diego Costa aiwezesha Chelsea kuiua bao 1-0 Crystal Palace Ligi Kuu.

Akifunga goli lake la 50, Straika wa Chelsea, Diego Costa ameiwezesha timu yake hiyo kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Crystal Palace jioni ya Leo December 17,2016 na kuwa ushindi wa 11 mfululizo katika Ligi Kuu  msimu huu,2016/2017 hivyo kujitengenezea mazingira mazuri ya kuwa Mabingwa wa ligi hiyo.


 Ushindi huo umeifanya Chelsea inayonolewa na Kocha Antonio Conte kuendelea kujikita kileleni ambapo sasa imefikisha pointi 9 dhidi ya yule anayeshika nafasi ya pili.

Diego Costa alifunga bao hilo katika dakika ya 43 akiunganisha kwa kichwa mpira uliopigwa na beki wake wa pembeni, Cesar Azpilicueta.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad