Taswira Picha Ajali ya basi La Hood (linalotokea Mbeya-Arusha) kugongana na Lori kisha kutumbukia Kitonga. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, October 28, 2016

Taswira Picha Ajali ya basi La Hood (linalotokea Mbeya-Arusha) kugongana na Lori kisha kutumbukia Kitonga.

Taarifa kuhusu ajali ya Basi la Hood lenye Namba za Usajili T 773 AVL aina Scania (lililokua linatokea Jijini Mbeya kwenda-Arusha) kugongana na Lori (uelekeo Zambia) na kutumbukia Kitonga majira ya saa nane mchana, Oktoba 27,2016.

Vifo eneo la Tukio: Mwanaume mmoja kapoteza maisha

Majeruhi: Ni 43(25 wapo hospitali ya Itunda Ilula, 18 hospitali ya Mkoa)

Wazima:17







No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad