Mkuu wa wilaya ya
Urambo Bi,Angelina Kwingwa akikata utepe ishara ya kupokea msaada wa madawati
Miamoja kutoka kampuni ya Tigo kanda ya ziwa.
|
Mkuu wa wilaya ya
Urambo Bi,Angelina Kwingwa Akitoa hotuba kwa wananchi wakati wa makabidhiano ya
madawati wilayani Humo.
|
Mkuu wa wilaya ya
Urambo Bi.Angelina Kwingwa na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa wakiwa wameketi
kwenye Madawati pamoja na baadhi ya
wanafunzi wa Shule ya Msingi Ukombozi wilayani Urambo.
|
Baadhi ya Wanafunzi wa
Shule ya Msingi Ukombozi.
|
No comments:
Post a Comment