HIFADHI YA TAIFA YA GOMBE:-Sokwe mtu na raha katika miti. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, July 19, 2016

HIFADHI YA TAIFA YA GOMBE:-Sokwe mtu na raha katika miti.

Baadhi ya Sokwe mtu walioonekana kwa mbaali sana wakiwa katika miti katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe iliyopo Mkoani Kigoma nchini Tanzania.

Nyani ni miongoni mwa wanyama wanaoonekana kwa urahisi katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe.


Eneo mojawapo linalotumiwa na wavuvi katika mwambao mwa ziwa Tanganyika jirani na Hifadhi ya taifa ya Gombe.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad