“Kwa
kuthamini kipaji chake na mchango wake na kutambua nafasi yangu kama Naibu
Waziri kwenye Wizara inayosimamia mambo ya Watoto na kama mbunge na mzazi wa
mabinti, lakini zaidi kama mtu kutoka kwenye background ya maisha ya chini na
ninayethamini mchango wa elimu kwenye maisha yangu, nimeamua kujitolea
kumsomesha kidato cha tano na cha sita kwenye shule za kisasa,
“Taasisi
yangu ya misaada ya kijamii ya Hamisi Kigwangalla Development Foundation
itamlipia ada za masomo yake ya high school,” alisema Dkt. Kigwangalla.
Getrude
Clement ambaye ana miaka 16 amepata nafasi hiyo ya kipekee baada ya kupata
nafasi ya kutoa hotuba kwa niaba ya watoto na vijana wengine duniani katika
mkutano wa Umoja wa Mataifa ambapo alikaribishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa
Mataifa, Ban Ki Moon na kusifiwa na watu mbalimbali duniani kutokana na hotuba
yake nzuri.
|
Wednesday, May 04, 2016
Home
HABARI
MAFANIKIO:-Taasisi ya Misaada ya Kijamii ya Dr. Hamisi Kigwangalla Kumsomesha Getrude Clement.
MAFANIKIO:-Taasisi ya Misaada ya Kijamii ya Dr. Hamisi Kigwangalla Kumsomesha Getrude Clement.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment