VPL 2015/2016:-February 06,2016 African Sports Sare 0-0 na Stand United ….kesho Jumapili Yanga SC , Simba SC na Azam FC Uwanjani. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, February 06, 2016

VPL 2015/2016:-February 06,2016 African Sports Sare 0-0 na Stand United ….kesho Jumapili Yanga SC , Simba SC na Azam FC Uwanjani.

Winga wa Simba Haji Ugando akimtoka golikipa wa Mgambo JKT.

Leo Jumamosi February 06,2016 ,kwenye  Mechi pekee ya Ligi Kuu Vodacom, VPL 2015/2016, huko Mkwakwani, Tanga Wenyeji African Sports walitoka Sare 0-0 na Stand United ya Shinyanga.

Ligi hiyo  itaendelea hapo kesho Jumapili February 07,2016 kwa  Vinara wa Ligi na Mabingwa watetezi, Yanga SC watacheza na JKT Ruvu, wakati Simba SC iko Ugenini kuivaa Kagera Sugar na Azam FC, watakua Azam Complex, Chamazi kwenye Viunga vya Jiji la Dar es Salaam, na Mwadui FC.

LIGI KUU VODACOM 2015/2016 –RATIBA.


Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na Mimi Hapa...FACEBOOK .. TWITTER .. INSTAGRAM … Pia Usisite kututumia tukio la Picha/Habari  kwa WhatsApp +255789925630/+255756830214.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad