TAZAMA PICHA:-Rais Magufuli awaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri Ikulu Dar, leo December 12,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, December 12, 2015

TAZAMA PICHA:-Rais Magufuli awaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri Ikulu Dar, leo December 12,2015.


MMG_2583
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo December 12,2015 katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.

MMG_2597
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii na Jinsia, wazee na watoto, Ummy Mwalimu katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri , leo December 12,2015 katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.BOFYA HAPA KULIFAHAMU BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LA TANZANIA 2015 - 2020.
MMG_2565
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Katiba na Sheria, Harrison Mwakyembe katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo December 12,2015 katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.

MMG_2742
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Naibu waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Ashantu Kijaji katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri, leo December 12,2015 katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
MMG_2615
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo December 12,2015 katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
MMG_2716
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimwapisha waziri wa Sera, Bunge, Kazi ,Vijana,Ajira na Walemavu, Dkt. Abdallah Possi katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri, na manaibu Waziri leo December 12,2015 katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

Post Bottom Ad