EPL 2015/2016:-Tazama Picha wakati Stoke City walivyowatandika matajiri Manchester City 2-0 leo Desember 05.. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, December 05, 2015

EPL 2015/2016:-Tazama Picha wakati Stoke City walivyowatandika matajiri Manchester City 2-0 leo Desember 05..

cover
Nyota wa Stoke City, Marko Arnautovic, kawaacha mashabiki wa Manchester City kwenye butwaa baada ya mechi kuisha. Watu walidhani kwamba Manchester City wangetumia mechi hii kujiongezea pointi lakini imekua tofauti na vile ilivyotegemewa, baada ya kuifungia timu yake mabao yote katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City Uwanja wa Britannia jioni ya leo Desember 05,2015 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza 2015/2016.

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

Post Bottom Ad