UWEKEZAJI:-Tigo Yadhamini Gulio la Annual Charity Baazar. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, November 23, 2015

UWEKEZAJI:-Tigo Yadhamini Gulio la Annual Charity Baazar.

Kikundi cha sanaa cha Jumping Village kikitoa burudani kwenye gulio la lililoandaliwa na wake wa mabalozi lililofanyika Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST) Masaki. 

Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari wakati wa gulio lililoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania lenye lengo kusaidia jamii, Tigo ni wadhamini wa gulio hilo.
Mtoa huduma wa Tigo, Khalid Omary akitoa huduma kwa wateja wa Tigo kwenye gulio lililoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania lenye lengo kusaidia jamii.

Watoa huduma wa Tigo, Joshua Samuel na Judith Alfred wakitoa huduma kwa mteja wa Tigo, Justus Ndimbo mkazi wa Yombo Buza kwenye gulio lililoandaliwa na wake wa mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania lenye lengo kusaidia jamii.

Kikundi cha sanaa cha Jumping Village kikitoa burudani kwenye gulio la lililoandaliwa na wake wa mabalozi lililofanyika Shule ya Kimataifa ya Tanganyika (IST) Masaki.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad