|
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akipanda mti kama ishara ya
uhifadhi mazingira, katika Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani
Dodoma katika utekelezaji wa moja kati ya malengo ya maendeleo endelevu (SDGs).
|
|
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa
UNDP, Awa Dabo (kulia) wakieleka kukagua mradi wa ufugaji wa shirika la
Tanzania Environmental Friendly Association (TEFA) huku wakiburudishwa na ngoma
ya wenyeji wa kabila wa Kigogo, katika Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino
mkoa wa Dodoma katika utekelezaji wa moja kati ya malengo ya maendeleo endelevu
(SDGs).
|
|
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa
Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa Kijiji cha
Machali A wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma, Zena Mwalko baada ya kuzindua mradi
wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati
jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma
region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha Machali A,
wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Awa
Dabo.
|
|
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akiwa kwenye picha ya pamoja na
wanakikundi cha ngoma cha Kijiji cha Machali A, wilayani Chamwino mkoa wa
Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa kupunguza na kukabiliana na
mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu ya jua (Mitigating Climate
change in vulnerable communities of Dodoma region, Machali village, Chamwino
District), katika Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.
Kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Awa Dabo.
|
|
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP),
Alvaro Rodriguez akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Machali A, wilayani
Chamwino mkoa wa Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa kupunguza na
kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu ya jua
(Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma region, Machali
village, Chamwino District), kijijini humo. Kutoka kushoto kwake ni Mkurugenzi
Mkazi wa UNDP, Awa Dabo na Mwakilishi Msaidizi wa Shirika la UNFPA, Dk. Hashina
Begum.
|
|
Mkurugenzi
Mkazi wa UNDP, Awa Dabo akiwa amebeba ndoo ya maji baada ya uzinduzi wa mradi
wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu
ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma region,
Machali village, Chamwino District), katika kijiji cha Machali A wilayani
Chamwino mkoa wa Dodoma huku Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa
Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez pamoja na wanakijiji wakishuhudia
tukio hilo.
|
|
Mkurugenzi
Mkazi wa UNDP, Awa Dabo akipanda mti kama ishara ya uhifadhi mazingira baada ya
kuzindua mradi wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa
kutumia nishati jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable
communities of Dodoma region, Machali village, Chamwino District), katika
Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.
|
|
Mwakilishi
Msaidizi wa Shirika la UNFPA, Dk. Hashina Begum akimwagilia maji mti kama
ishara ya kutunza mazingira baada ya uzinduzi wa wa kupunguza na kukabiliana na
mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu ya jua (Mitigating Climate
change in vulnerable communities of Dodoma region, Machali village, Chamwino
District), katika Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.
|
|
|
Wanakikundi
cha ngoma ya asili katika kijiji cha Machali A wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma
wakiburudisha wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi huo.
|
|
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akizindua mradi wa kupunguza na
kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu ya jua
(Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma region, Machali
village, Chamwino District), kijijini humo.
|






No comments:
Post a Comment