TAZAMA HAPA:-Rais Maguful katika hafla ya kumuapisha Waziri Mkuu,Mhe.Majaliwa Kassim. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, November 23, 2015

TAZAMA HAPA:-Rais Maguful katika hafla ya kumuapisha Waziri Mkuu,Mhe.Majaliwa Kassim.

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu mpya Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa mara baada ya kumuapisha mwishoni mwa wiki katika Ikulu Ndogo ya Chamwino mjini Dodoma. 

Wengine kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zandibar Dkt Abdulhamid Yahya Mzee, Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe Mohamed Chande Othman, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Pandu Ameir Kificho na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Mkungu.

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan (Kushoto) na Waziri Mkuu mpya Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa (Kulia) mara baada ya kumuapisha mwishoni mwa wiki katika Ikulu Ndogo ya Chamwino mjini Dodoma.

PICHA NA IKULU.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad