TASWIRA PICHA :-Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasili jijini Dar es salaam. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, November 23, 2015

TASWIRA PICHA :-Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasili jijini Dar es salaam.

Waziri Mkuu wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakipokea shada la maua kutoka kwa Immaculata Warqaso wa Ofisi ya Waziri  baada ya kuwasili kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam , Novemba 22, 2015 wakitoka Dodoma kwa gari.Wapili kulia ni Katibu Mkuu , Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad