SHIKAMOO MVUA:-Tazama Tope zito barabarani likikwamisha Magari Kakonko/Kigoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, November 20, 2015

SHIKAMOO MVUA:-Tazama Tope zito barabarani likikwamisha Magari Kakonko/Kigoma.

Muonekano wa Tope zito na  Magari madogo ya abiria na Makubwa  yakiwa yamekwama  katika  msururu mrefu , baada ya Mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Kakonko Mkoani Kigoma na kuleta TOPE LENYE UTELEZI MWINGI ,eneo hilo lililopo Kakonko na kufanya magari kupenya kwa shida kufuatia magari mengine kukwama.
Baadhi ya Abiria na Madereva wanasema safari zao kuelekea Mkoani Kigoma kupitia barabara ya KIBONDO - KAKONKO – NYAKANAZI ,wakati wa Mvua hukumbwa na changamoto ya kutumika na kuiomba Serikali kuifanyia Matengenezo ili iweze kutumika wakati wote bila shida.
 
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad