SALAAM:-Malinzi ampongeza Waziri Mkuu Majaliwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, November 19, 2015

SALAAM:-Malinzi ampongeza Waziri Mkuu Majaliwa.

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za pongezi, Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa kwa kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa awamu ya tano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad