![]() |
|
Akiwa hana
nguo baada ya kuvuliwa na kaka yake wakati wa fumanizi hilo.
Habari
zinadai kuwa, baada ya kushuhudia kitendo hicho kaka huyo alimshika mdogo wake
na kumfunga kamba miguuni na mikono kwa nyuma kisha akaanza kumpiga kwa fimbo
mwilini.
Inaelezwa
kuwa, wakati wa kipigo kutoka kwa kaka yake, marehemu alikuwa akijitetea kwa
kusema kwamba alilazimika kuingia kwenye banda la nguruwe kwa ajili ya kuondoa
hamu ya mapenzi kutokana na kubanwa zaidi bila kupata mwanamke.
Licha ya
utetezi huo, kaka mtu alimvua nguo zote mdogo wake na kuendelea kumwadhibu
mpaka akapoteza maisha.
“Baada ya
kuona mdogo wake amepoteza maisha, kaka mtu alilazimika kuuacha mwili chini,
akachukua sumu ya panya na kutoweka kusikojulikana,” alisema shuhuda mmoja.
|
![]() |
|
Kamanda wa
Polisi Mkoa wa Njombe, ACP Wilbroad Mtafungwa alithibitisha kutokea kwa tukio
hilo na kuongeza kwamba hadi sasa jitihada za kumsaka mtuhumiwa zinaendelea.
Kamanda
Mtafungwa aliwataka wananchi kutokujichukulia sheria mkononi kwani hata kama
kijana huyo alikutwa akifanya mapenzi na nguruwe bado hukumu yake haikuwa kifo.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .
|








No comments:
Post a Comment