SHIKAMOO MVUA:-Tazama Magari Yakwama kisa Utelezi katika Barabara ya Benaco - Karagwe,mkoani Kagera na kusababisha msururu wa Magari - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, November 16, 2015

SHIKAMOO MVUA:-Tazama Magari Yakwama kisa Utelezi katika Barabara ya Benaco - Karagwe,mkoani Kagera na kusababisha msururu wa Magari

Picha juu ni Malori na chini ni Magari madogo ya abiria na watu binafsi  yakiwa kwenye msururu mrefu mara baada ya kushindwa kuendelea na safari kwa takribani saa , katika eneo la Benaco lililopo Ngara ,barabara ya Benaco kuelekea Karagwe,mkoani Kagera hii leo November 16,2015 kutokana na eneo hilo kuharibiwa  na mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha magari hayo kukwama.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad