![]() |
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na
mmoja wa wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11
mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
![]()
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete na Mhe. Benjamin William Mkapa muda mfupi baada ya kuhutubia na
kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
|

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisikiliza kwa
unyenyekevu mawaidha toka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan
Mwinyi muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
Jumamosi Novemba 20, 2015.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Waziri Mkuu
Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa wakijichanganya na wabunge kwenye mchapalo muda
mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi
Novemba 20, 2015.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Rais Mstaafu
wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Kiongozi Mkuu wa Chama cha
ACT-Wazalendo Mhe Zitto Kabwe muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi
Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Mhe Anthony Diallo muda mfupi baada ya
kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na
Mama Shadya Karume na MAma Khadija Mwinyi muda mfupi baada ya kuhutubia na
kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na
wabunge na wageni waalikwa kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na
kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015. Ni hapo
alipoamuru kwamba zaidi ya shilingi milioni 200 zilizochangwa na wafadhili kwa
ajili ya mchapalo huo zitumike kwa kununulia vitanda vya wagonja katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru na
kumkabidhi cheti mwakilishi wa Benki kwa mchango wao kwenye mchapalo muda mfupi
baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba
20, 2015.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru na
kumkabidhi cheti Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio kwa mchango wao kwenye
mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini
Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru na
kumkabidhi cheti Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw.Adam Mayingu kwa mchango wao kwenye
mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini
Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru na
kumkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Mama Ineke Bussemaker
kwa mchango wao kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi
Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru na
kumkabidhi cheti Mwakilishi wa NSSF kwa mchango wao kwenye mchapalo muda mfupi
baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba
20, 2015.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru Spika Job
Ndugai wakati anaondoka baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini
Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipozi na
badhi ya mabalozi wa nchi za Kiafrika waliokaribishwa kwenye hafla ya kuhutubia
na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya
pamoja na viongozi wakuu na wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua
rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.

No comments:
Post a Comment