EPL 2015/2016:-Tazama Matukio Picha wakati Tottenham Hotspur na Chelsea wakicheza mechi ya Ligi leo November 29. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, November 29, 2015

EPL 2015/2016:-Tazama Matukio Picha wakati Tottenham Hotspur na Chelsea wakicheza mechi ya Ligi leo November 29.

Jose Mourinho (kushoto) na  Mauricio Pochettino wa Tottenham Hotspur wakiwatazama Lamela anavyohaha uwanjani kumpita  Azpilicueta wa Chelsea, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza 2015/2016 jioni ya leo November 29,2015 Uwanja wa White Hart Lane. Timu hizo zimetoka 0-0 .






Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad