KUVUNJA REKODI:- Majina 23 ya walio katika rekodi ya ufungaji magoli mfululizo Ligi Kuu Uingereza. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, November 29, 2015

KUVUNJA REKODI:- Majina 23 ya walio katika rekodi ya ufungaji magoli mfululizo Ligi Kuu Uingereza.

Ifahamu  orodha ya  majina 23 ya Wachezaji soka ambao wanaongoza kwa ufungaji magoli mfululizo katika Ligi Kuu Uingereza huku kwa sasa Jamie Richard Vardy wa Leicester City ndio anaongoza kwa kuwa namba moja baada ya Ruud van Nistelrooy ambaye aliondoka Man United mwaka 2006 na kujiunga na Real Madrid ya Hispania aliweka rekodi ya ufungaji magoli 10 katika mechi 10 mfululizo, rekodi ambayo imedumu kwa miaka 12 na usiku wa November 28,2015  ndio mshambuliaji raia wa Uingereza Jamie Richard Vardy aliivunja rekodi hiyo dakika ya 24 ya mchezo dhidi ya Man United.

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad