![]() |
|
Jumapili
Ligi Kuu itaendelea kwa mchezo mmoja tu utakaochezwa katika uwanja wa Taifa
jijini Dar es salaam ambapo mabingwa watetezi wa kombe hilo Yanga SC
watawakribisha wagosi wa kaya Coastal Union.
Katika hatua
nyingine klabu ya Kagera Sugar ya mkoani Kagera itatumia Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora kwa
mechi zake za nyumbani dhidi ya Toto Africans (Sept 26), JKT Ruvu (Sept 30),
Tanzania Prisons (Oct 4) na Yanga SC (Oct 31).
Mabadiliko
hayo yamefanyika kupisha shughuli ya uwekaji nyasi bandia inayoendelea kwenye
uwanja wao wa Kaitaba mjini Bukoba unaofanywa na wataalamu kutoka Shirikisho la
Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
|
Tuesday, September 08, 2015
Home
MICHEZO
LIGI KUU VODACOM TANZANIA 2015/2016:-Jumamosi September 12,2015 inaanza na Mechi hizi Saba.
LIGI KUU VODACOM TANZANIA 2015/2016:-Jumamosi September 12,2015 inaanza na Mechi hizi Saba.
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.







No comments:
Post a Comment