KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR:-Chapitisha Jina la Mgombea Urais 2015 wa Zanzibar kupitia CCM..Ni Dk. Dk Ali Mohamed Shein. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, July 05, 2015

KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR:-Chapitisha Jina la Mgombea Urais 2015 wa Zanzibar kupitia CCM..Ni Dk. Dk Ali Mohamed Shein.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akipongezwa  na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein…Picha kwa Hisani ya Michuzi..


 Viongozi wa Meza Kuu wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali, akitoa maelezo ya kikao hicho cha Kamati Maalumu ya CCM Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar baada ya jina lake kupitishwa kuwa  Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwa  na Wajumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar baada ya jina lake kupitishwa kuwa  Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM.

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad