MAFANIKIO YETU:-Dr Sengati na Masanja Mkandamizaji wanogesha Uzinduzi wa Utatu Mtakatifu mjini Ngara.....Tazama Picha . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, June 28, 2015

MAFANIKIO YETU:-Dr Sengati na Masanja Mkandamizaji wanogesha Uzinduzi wa Utatu Mtakatifu mjini Ngara.....Tazama Picha .

Ni Mkufunzi na Mkuu wa Idara ya Siasa na Utawala katika Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) Dr. Philemon Sengati Rugumiliza ambaye pia ametangaza nia ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kimteue kugombea Ubunge wa Jimbo la Ngara ,mkoani Kagera October 25, 2015 kupitia CCM akiwa ameshika Album itwayo MVUA YA MAWE ya Kwaya ya Utatu Mtakatifu  wakati alipoongoza Uzinduzi wa Album hiyo iliyozinduliwa  leo hii June 28, 2015 katika Uwanja wa Kokoto mjini Ngara.
CD kadhaa za Album itwayo MVUA YA MAWE ya Kwaya ya Utatu Mtakatifu  wakati wa Uzinduzi wa Album hiyo iliyozinduliwa  leo hii June 28, 2015 katika Uwanja wa Kokoto mjini Ngara.

Msanii wa Ijili na Muigizaji Nchi Tanzania Massanja Mkandamizaji  sambamba na Mkufunzi na Mkuu wa Idara ya Siasa na Utawala katika Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) Dr. Philemon Sengati Rugumiliza ambaye pia ametangaza nia ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kimteue kugombea Ubunge wa Jimbo la Ngara ,mkoani Kagera October 25, 2015 kupitia CCM akiwa ameshika Album itwayo MVUA YA MAWE ya Kwaya ya Utatu Mtakatifu  wakati alipoongoza Uzinduzi wa Album hiyo iliyozinduliwa  leo hii June 28, 2015 katika Uwanja wa Kokoto mjini Ngara.Kulia Ni Mchungaji wa kanisa la Anglikani Ngara Mjini.



Kulia ni Mwl.Baraka akiwakilisha shilingi Milioni Moja iliyotolewa na  Dr. Philemon Sengati Rugumiliza kwa Kwaya ya Utatu Mtakatifu kama sehemu ya mchango wake wa Kukusanya shilingi Milioni 50 ,akitoa ahadi ya shilingi milioni Mbili, wa Kwaya hiyo ili kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo kupata Usafiri/Coster wa gari la kwaya hiyo.

Akijibu Risala ,Dr.Sengati ameahidi kuwasiliana na Marafiki zake ili kuona atasaidia vipi kupata basi dogo litakalotumiwa na kwaya kukuza injili wilayani Ngara sambamba na Kuishauri kwaya hiyo ya UTATU MTAKATIFU kubuni Ujasiriamali utakaowaingizia fedha zitakazowasaidia kutatua changamoto mbalimbali.

Mwl.Baraka akiinunua Album itwayo MVUA YA MAWE ya Kwaya ya Utatu Mtakatifu  kwa shilingi Lakini Moja wakati wa Uzinduzi wa Album hiyo iliyozinduliwa  leo hii June 28, 2015 katika Uwanja wa Kokoto mjini Ngara.
Mr Willy na Mkewe Mary wamiliki wa Hotel ya Kisasa mjini Ngara PARADISE HOTEL wakiinunua  Album itwayo MVUA YA MAWE ya Kwaya ya Utatu Mtakatifu  kwa Lakini Mbili wakati  Uzinduzi wa Album hiyo iliyozinduliwa  leo hii June 28, 2015 katika Uwanja wa Kokoto mjini Ngara.

Mfanyabiashara Maarufu mjini Ngara Bw.Dick Sempiga  na Mkewe  wakiinunua  Album itwayo MVUA YA MAWE ya Kwaya ya Utatu Mtakatifu  kwa Lakini Moja na Nusu wakati  Uzinduzi wa Album hiyo iliyozinduliwa  leo hii June 28, 2015 katika Uwanja wa Kokoto mjini Ngara.

Mfanyabiashara Maarufu mjini Ngara Bw.Juma aka Juma Celtel na Mkewe  wakiinunua  Album itwayo MVUA YA MAWE ya Kwaya ya Utatu Mtakatifu  kwa Lakini Moja wakati  Uzinduzi wa Album hiyo iliyozinduliwa  leo hii June 28, 2015 katika Uwanja wa Kokoto mjini Ngara.


Mwanaharakati  Bw.David Kibenza akifatilia kile kinachoendelea wakati wakati wa uzinduzi wa  Album itwayo MVUA YA MAWE ya Kwaya ya Utatu Mtakatifu   leo hii June 28, 2015 katika Uwanja wa Kokoto mjini Ngara...kushoto kwake ni Mke wa Bw.Dick Sempiga.



Kwaya ya UTATU MTAKATIFU ikifanya yao uwanjani wakati wanazitambulisha nyimbo walizoimba katika   Album itwayo MVUA YA MAWE wakati  Uzinduzi wa Album hiyo iliyozinduliwa  leo hii June 28, 2015 katika Uwanja wa Kokoto mjini Ngara.









Wana Ngara waliofurika uwanja wa Kokoto kushuhudia uzinduzi huo wa Album itwayo MVUA YA MAWE ya Kwaya ya Utatu Mtakatifu   leo hii June 28, 2015 katika Uwanja wa Kokoto mjini Ngara.




Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad