SAFARI ZETU:-Picha 3 Tazama wakati Boti ya Kilimanjaro V ya Azam Marine ikiwa katika Bandari ya Malindi,Tayari kwa Safari. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, June 27, 2015

SAFARI ZETU:-Picha 3 Tazama wakati Boti ya Kilimanjaro V ya Azam Marine ikiwa katika Bandari ya Malindi,Tayari kwa Safari.

Boti ya Kilimanjaro V ya Azam Marine, inayomilikiwa na kampuni ya Said Salim Bakhresa ambao pia ni wamiliki wa Azam FC, ikiwa katika Bandari ya Malindi, Zanzibar baada ya kushushwa kwenye meli ya Thorco Clairvaux iliyotokea Australia, tayari kuanza safari zake kati ya Dar es Salaam na Unguja.


Kilimanjaro V iikiteremeshwa kwenye Meli leo tayari kuanza safari zake kati ya Bara na Visiwani.Picha kwa Hisani ya BIN ZUBEIRY

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad