KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI TANZANIA 2015 :-Hawa Hapa waliochaguliwa kwa Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera kwa ajili ya Usaili. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, June 28, 2015

KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI TANZANIA 2015 :-Hawa Hapa waliochaguliwa kwa Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera kwa ajili ya Usaili.

Tembelea www.policeforce.go.tz/index.php/sw/ kuona orodha ya wahitimu wa kidato cha nne 2014 waliochaguliwa kushiriki USAILI wa kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania 2015.

Bonyeza hapa majina na ratiba majina ya usaili
Ni vema ukachungulia shule za katani kwako ili ukimwona mhusika apewe taarifa ili akashiriki.

Usaili utaanza 03.07.2015.
 
Majina pia yapo kwenye tovuti ya TAMISEMI www.pmoralg.go.tz na Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa/Wilaya iliyo karibu nawe ukatazame endapo jina lako ni miongoni mwa walioitwa kwenye usaili.





Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad