Vijana wakiwa katika Maandamano nchini Burundi.
Watu wanne wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa katika maandamano ya kupinga hatua ya Rais Pierre Nkurunziza kuwania Urais kwa Mhula wa tatu. Mamia ya watu wamejitokeza kwenye maandamano hayo huku baadhi wakichoma moto baadhi ya vitu katika nchi hiyo. Siku ya jumanne Mahakama ya Katiba ilikubali kuwa Rais Nkurunziza anaweza kugombea urais ambapo ilisema ni halali yeye kuwania tena urais kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Katika hotuba yake siku ya jumatano Rais Nkurunziza alisema kama atachaguliwa tena kuongoza nchi hiyo, mhula huu utakuwa wa mwisho kwake kuwa madarakani.
Pata
Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori
inayonifikia wakati wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Thursday, May 07, 2015
GHASIA ZA KISIASA :-Wanne wafariki katika Maandamano Burundi.
Tags
# SIASA
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
SIASA
Labels:
SIASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment