MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA KUNYESHA:-Hii ndio Taswira Picha ya Foleni leo May 7, 2015 Jijini Dar es Salaam. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, May 07, 2015

MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA KUNYESHA:-Hii ndio Taswira Picha ya Foleni leo May 7, 2015 Jijini Dar es Salaam.

Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali jijini Dar es Salaam, imepekea baadhi ya njia kufungwa kutokana na wingi wa maji kwenye baadhi ya madaraja, hali iliyopelekea kuwepo kwa msongamano mkubwa la magari kama ionekanavyo pichani hapa katika Barabara ya Azikiwe, kutokea kwenye kipita shoto cha Askari...Picha zote na Othman Michuzi.



Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad