UBINGWA CHELSEA 2014/2015:-Eden Hazard mshindi wa Tuzo ya PFA 2015…Watazame Hapa na wengine walioshinda Tuzo . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, April 27, 2015

UBINGWA CHELSEA 2014/2015:-Eden Hazard mshindi wa Tuzo ya PFA 2015…Watazame Hapa na wengine walioshinda Tuzo .

Hii ni record ya Hazard.

Ligi kuu ya soka Uingereza inakaribia ukingoni msimu huu 2014/2015, na tayari timu mbalimbali zimeshapata taswira kamili ya nini zimepanda kwa msimu mzima wa ligi hiyo ambayo ilikuwa na ushindani mkubwa.

Chelsea bado ina matumaini makubwa ya kutwaa ubingwa wa ligi hiyo na wiki hii inaweza kutangaza ubingwa endapo itaifunga Crystal Palace jumatano April 29 baada ya jana April 26,2015 kutoka sare ya 0 - 0 na  Arsenal.

Mpaka sasa Chelsea ndiyo inayoongoza kwenye msimamo wa ligi ikiwa na jumla ya pointi zake 77 mkononi.

Furaha kubwa kwa mashabiki wa Chelsea sasa ni kuhusu kiungo wao, Eden Hazard ambaye amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka na chama cha wachezaji wa kulipwa Ungereza, PFA.

Mchezaji huyo nyota raia wa Ubelgiji mwenye umri wa miaka 24 amefunga mabao 13 na na kusaidia wafungaji (assists) 8 katika michezo 33 ya ligi kuu ya nchi hiyo na akiiwezesha kutwaa taji la kombe la ligi maarufu Capital One pamoja na kuwa mmoja ya wapambanaji waliosukuma jahazi la Chelsea kuelekea kwenye jukwaa la ubingwa kwa mara nyingine tangu mwaka 2010.
2014/15 PFA TEAM OF THE YEAR  

GK: David de Gea

DEF: Ryan Bertrand, John Terry, Gary Cahill, Branislav Ivanovic

MID: Eden Hazard, Philippe Coutinho, Nemanja Matic, Alexis Sanchez

FWD: Harry Kane, Diego Costa
Hazard ambaye msimu uliopita aliibuka mshindi kwa upande wa chipukizi alikabidhiwa tuzo yake katika hoteli ya Grosvenor jijini London jana Jumapili April 26,2015. " ninafuraha sana. Nataka siku moja niwe mjichezaji bora kabisa na na nilichofanya msimu huu ni kucheza vizuri na timu yangu imecheza vizuri sana" alisema Hazard baada ya kupokea tuzo hiyo. "sijui kama nastahili kushinda lakini jambo hili ni zuri kwangu. Ni jambo zuri kupigiwa kura na wachezaji kwasababu wanajua kila kitu kuhusu mpira" aliongeza mchezajia huyo.
Naye Harry Kane ameibuka kidedea kwa kunyakua tuzo ya mchezaji bora chipukizi huku naye Ji So-Yun wa Chelsea akiibuka mshindi kwa upande wa wanawake.

Kwa upande wa mwanasoka bora chipukizi mshambuliaji hatari wa SpursHarry Kane mwenye umri wa miaka 21 alifanikiwa kushinda nafasi hiyo baada ya kuwapiku kipa David De Gea wa Man United na Raheem Sterling wa Liverpool.

Tuzo ya heshima ilikwenda na Steven Gerrard na Frank Lampard kutokana na mchango wao mkubwa kwenye ligi kuu ya Uingereza.

Baada ya Hazard kutangazwa mshindi, staa wa soka Allan Shearer amesema ubora wa Hazard anafaa kuwa mchezaji bora wa dunia.
Pichani huu ni Ji So-yun  won the PFA Women's Player of the Year, huku picha chini Leah Williamson won the PFA Women's Young Player of the Year.
PFA TEAM OF THE YEAR (BY TEAM AND PLAYERS) IN PREMIER LEAGUE ERA .

1. Manchester United (75 in total)

6 – Gary Neville, Ryan Giggs
5 – Rio Ferdinand
4 – Nemanja Vidic, Cristiano Ronaldo, David Beckham, Roy Keane, Gary Pallister
3 – Edwin van der Sar, Patrice Evra, Wayne Rooney, Jaap Stam, Paul Ince
2 – David de Gea, Paul Scholes, Ruud van Nistelrooy, Denis Irwin
1 – Michael Carrick, Robin van Persie, Nani, Dimitar Berbatov, Antonio Valencia, Darren Fletcher, Tim Howard, Fabien Barthez, Wes Brown, Teddy Sheringham, Andy Cole, Dwight Yorke, Nicky Butt, Eric Cantona, Peter Schmeichel

2. Arsenal (42)

6 – Thierry Henry, Patrick Vieira
3 – Ashley Cole, Robert Pires, Tony Adams
2 – Bacary Sagna, Cesc Fabregas, Sol Campbell, Ian Wright
1 – Alexis Sanchez, Robin van Persie, Samir Nasri, Jack Wilshere, Thomas Vermaelen, Gael Clichy, Emmanuel Adebayor, Lauren, Sylvinho, Emmanuel Petit, Nicolas Anelka, Dennis Bergkamp, David Seaman

3. Chelsea (29)

4 – John Terry
3 – Eden Hazard, Frank Lampard
2 – Gary Cahill, Branislav Ivanovic, Didier Drogba, Petr Cech, William Gallas
1 – Nemanja Matic, Diego Costa, Juan Mata, Ashley Cole, Joe Cole, Arjen Robben, Graeme Le Saux, Ruud Gullit

4. Liverpool (23)

8 – Steven Gerrard 
2 – Luis Suarez, Fernando Torres, Sami Hyypia
1 – Philippe Coutinho, Daniel Sturridge, Jamie Carragher, Michael Owen, Mark Wright, Stig Inge Bjornebye, Steve McManaman, David James, Rob Jones

5. Blackburn Rovers (13)

4  – Alan Shearer
2 – Colin Hendry, Tim Flowers
1 – Brad Friedel, Graeme Le Saux, Tim Sherwood, Chris Sutton, David Batty

5. Tottenham Hotspur (13)

3 – Gareth Bale
2 – Stephen Carr
1 – Harry Kane, Jan Vertonghen, Kyle Walker, Scott Parker, Dimitar Berbatov, Sol Campbell, David Ginola, Jurgen Klinsmann

7. Newcastle United (12)

2 – Shay Given, David Batty, Alan Shearer
1 – Fabricio Coloccini, Kieron Dyer, Rob Lee, David Ginola, Les Ferdinand, Peter Beardsley

8. Manchester City (11)

3 – Vincent Kompany
2 – Yaya Toure, Joe Hart
1 – Pablo Zabaleta, David Silva, Carlos Tevez, Shaun Wright-Phillips

8. Leeds United (11)

3  – Nigel Martyn
2 – Gary Kelly
1 – Rio Ferdinand, Ian Harte, Harry Kewell, Gary McAllister, Tony Dorigo, Gary Speed

10. Aston Villa (7)

2 – Ashley Young
1 – Richard Dunne, James Milner, Ugo Ehiogu, Alan Wright, Paul McGrath

11. Southampton (6)

2 – Luke Shaw 
1 – Ryan Bertrand, Adam Lallana, Wayne Bridge, Matt Le Tissier

12. Everton (3)

2 – Leighton Baines
1 – Seamus Coleman

13. Nottingham Forest (2)

1 – Steve Stone, Roy Keane

13. Portsmouth (2)

1 – Glen Johnson, David James

15. Crystal Palace (1)

1 – Andrew Johnson

15. Fulham (1)

1 – Steve Finnan

 15. Queens Park Rangers (1)

1 – David Bardsley

15. Sunderland (1)

1 – Kevin Phillips

 15. Wigan Athletic (1)

1 – Pascal Chimbonda

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad