TAHARUKI:-Tazama Taswira Picha 7 jinsi Radi ilivyoua Ng’ombe 32 wilayani Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, April 27, 2015

TAHARUKI:-Tazama Taswira Picha 7 jinsi Radi ilivyoua Ng’ombe 32 wilayani Ngara mkoani Kagera.

Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Ngara mkoani Kagera,Hapo  jana April 26,2015 majira ya saa 12 jioni ilipiga radi na kuua Ng’ombe 32 katika eneo la Benaco/Nyabungombe  wilayani Ngara / Biharamulo mkoani Kagera  hali ambayo imeleta hasara kubwa kwa Wafugaji waliokuwa wakiwamiliki Ng’ombe hao  kama picha zinavyoonesha ........Picha zote na Mwanawamakonda WhatsApp +255789925630.






Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad