EPL 2014/2015:-Tazama Picha wakati James McCarthy, John Stones na Kevin Mirallas wakiiliza 3 – 0 Manchester United leo April 26,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, April 26, 2015

EPL 2014/2015:-Tazama Picha wakati James McCarthy, John Stones na Kevin Mirallas wakiiliza 3 – 0 Manchester United leo April 26,2015.

Mchezaji John Stones akiifungia Everton bao la pili kwa kichwa wakati wa mchezo wa Ligi kuu Uingereza leo April 26,2015 Jioni  ambapo  hadi mapumziko, Everton waliongoza kwa mabao 2-0 dhidi ya Manchester United katika mechi hiyo  iliyochezwa  kwenye Uwanja wa Goodison Park.

 Everton wamefanikiwa kushinda bao 3 – 0  kwa Mabao ya  J.McCarthy dakika ya 5 , J. Stones dakika ya 35 ya kipindi cha kwanza na  Mirallas 74 .



Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad