![]() |
Jinamizi la ajali
nchini limekuwa Likigonga vichwa
Watanzania hasa cha kushtua zaidi ni
kwamba ajali hizi zimetokea mfululizo sana, watu wengi wamefariki, wengine
wengi majeruhi huku Uzembe wa baadhi ya Madereva na Mwendokasi umehusishwa vikitajwa kuwa chanzo
cha ajali.
Leo April
29, 2015 huko Morogoro, watu 15 kujeruhiwa na wengine zaidi ya 50 wamenusurika
katika ajali ya basi la Takbir lililokuwa likitokea mkoani Geita kuligonga basi
la kampuni ya Abood katika eneo la Lubungo Mikese.
Majeruhi wa
ajali hiyo wamesema chanzo cha ajali ni
dereva wa basi la Takbir kutokuwa makini na kuendesha gari kwa
mwendokasi.. baada ya ajali hiyo dereva huyo alikimbia.
Kamanda wa
Polisi Morogoro, Leonard Paulo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Pata
Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori
inayonifikia wakati wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
Post Top Ad
Wednesday, April 29, 2015

TATIZO LA AJALI TANZANIA:- hii imetokea leo April 29, 2015 mkoani Morogoro.
Tags
# MATUKIO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
Makala Inayofuata
KILI MUSIC AWARDS 2014/2015:-Fahamu Majina rasmi ya wateule (nominees) wa vinyang’anyiro 32 vya tuzo za muziki Tanzania.
Makala Iliyopita
ELIMU YA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI:-Mbunge awezesha Bodaboda kutambua Sheria...Tazama Taswira Picha hapa.
Muonekano wa Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
AnonymousDec 10, 2019Viongozi Wilayani Kasulu watakiwa Kuimarisha Usalama Katika Korongo la Bolelo.
AnonymousJun 29, 2019Shirika la Ndege la Tanzania Laanza Safari za Afrika Kusini Leo 28/06/2019.
AnonymousJun 28, 2019
Labels:
MATUKIO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment