EPL 2014/2015:-QPR 0-1 Chelsea na sasa wako Pointi 7 mbele ya Timu ya Pili Arsenal . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, April 13, 2015

EPL 2014/2015:-QPR 0-1 Chelsea na sasa wako Pointi 7 mbele ya Timu ya Pili Arsenal .

Chelsea jana April 12,2015 wamepata  Ushindi  wa bao 1 – 0 kwa bao la dakika ya 88 la Cesc Fabregas  wakicheza huko Loftus Road  dhidi ya  QPR na kuzidi kupaa kileleni mwa Ligi Kuu Uingereza msimu huu polepole wakiukaribia Ubingwa na sasa  Chelsea wako Pointi 7 mbele ya Timu ya Pili Arsenal huku wakiwa na Mechi 1 mkononi na kubakiza Mechi 7.


Cesc Fabregas arrives late on to convert Eden Hazard's pass and secure all three points for Chelsea at Loftus Road.

Chelsea chairman Bruce Buck (left) and owner Roman Abramovich share a joke as they watch their team in action at Loftus Road.

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad