POLE SANA MZEE WETU:-Taswira ya Picha 5 zikimuonesha Rais Mugabe akianguka kwenye ngazi baada ya Kuhutubia. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 05, 2015

POLE SANA MZEE WETU:-Taswira ya Picha 5 zikimuonesha Rais Mugabe akianguka kwenye ngazi baada ya Kuhutubia.


Mara tu baada ya kuwasili kutoka Nchini Ethiopia Jumatano  ya Februari 04,2015, Raisi wa Zimbabwe Bw.Robert Mugabe aliwasili nchini humo na kuhutubia Wananchi waliofika kumpokea.

Baada ya kuhutubia Rais huyo ambaye anafikisha miaka 91 tar 21 mwezi huu wa pili(Februari) alianguka akishuka katika ngazi kama ambavyo picha zinaonekana.

 Akiwa Ethiopia, Rais Mugabe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU).


Pichani ..... Alianza Kushuka Katika Ngazi


....... Akakosea Kukanyaga Ngazi na Kuteleza


……………..Akaanguka

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad