|
Mashindano
ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2015, sasa yapo hatua ya Nusu Fainali na
Jumatano Usiku huko Estadio de Bata, Mjini Bata, Nchini Equatorial Guinea, Nusu
Fainali ya kwanza itachezwa.
Nusu Fainali
hiyo ni kati ya Congo DR na Ivory Coast.
Congo DR
ilitinga Nusu Fainali kwa kuwatwanga Majirani zao Congo Bao 4-2 baada ya kutoka
nyuma kwa Bao 2-0 na Ivory Coast kuichapa Algeria Bao 3-1.
Alhamisi ni
Nusu Fainali nyingine kati ya Wenyeji Equatorial Guinea na Ghana.
RATIBA.
**Saa za
Bongo
NUSU
FAINALI
Jumatano
Februari 4,2015.
2200 Congo
DR v Ivory Coast [Estadio de
Bata]
Alhamisi
Februari 5,2015.
2200
Equatorial Guinea v Ghana [Nuevo Estadio de Malabo]
MSHINDI
WA 3
Jumamosi
Februari 7,2015.
2100
Aliefungwa NF1 v Aliefungwa NF2 [Nuevo Estadio de Malabo]
FAINALI
Jumapili
Februari 8,2015.
2200 Mshindi
NF1 v Mshindi NF2 [Estadio de Bata]
|
No comments:
Post a Comment