NENO LA LEO :-Lisome hapa.....Ni kutoka Vodacom Tanzania. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, February 24, 2015

NENO LA LEO :-Lisome hapa.....Ni kutoka Vodacom Tanzania.

Kama mauzo yetu nje ni sawa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, basi Azam FC ni Utalii, Young Africans ni Viwanda, Mtibwa Sugar ni Dhahabu na Simba Sports Club ni Kilimo (tena Pamba kwa namna inavyoporomoka). Anasema Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe.

Zitto anasema katika kipindi cha miaka 2 (2012-2014) utalii umepanda kwa $0.4bn,viwanda vimepanda kwa $0.3bn. Dhahabu imeshuka na Pamba imeshuka zaidi.

Je, timu unayoshabikia ni Utalii, viwanda, dhahabu au pamba? BOFYA HAPA ZAIDI KWA MAONI YAKO''


UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad