LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Matokeo ya Yanga na usukani wa Ligi kwa pointi 22. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 05, 2015

LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Matokeo ya Yanga na usukani wa Ligi kwa pointi 22.

Timu ya Yanga SC jana Februari 04,2015  iliichapa Coastal Union bao 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Soka Vodacom Tanzania Bara 2014/2015 uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.

Kwa matokeo hayo Yanga SC sasa imeshika usukani wa ligi hiyo kwa kuwa na pointi 22 na kuishusha Azam FC yenye pointi 21 na Mtibwa Sugar ikikamata nafasi ya tatu kwa pointi 18.


Nahodha wa Yanga SC, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ akifurahi baada ya kufunga Bao moja na pekee huko Mkwakwani, Tanga walipoichapa Coastal Union Bao 1-0 katika Dakika ya 12 ya mchezo kufuatia Mpira wa Kurushwa wa Mbuyu Twite kuparazwa kwa Kichwa na Mchezaji kutoka Liberia Kpah Sherman na Cannavaro kuumalizia kwa Kichwa.


Ligi itaebdelea tena Jumamosi lakini Yanga SC wapo dimbani Jumapili kuivaa Mtobwa Sugar Jijini Dar es Salaam.

RATIBA VPL 2014/2015.

Jumamosi Februari 07,2015.

Polisi Moro v Azam FC    
            
Ndanda FC v Stand United   
      
Kagera Sugar v Mgambo JKT  
              
Prisons v Ruvu Shootings  
         
JKT Ruvu v Mbeya City  
            
Coastal Union v Simba SC   
           
Jumapili Februari 08,2015.

Yanga SC v Mtibwa Sugar

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A
 
GD
PTS
1
Yanga
12
6
4
2
13
7
 
6
22
2
Azam FC
11
6
3
2
15
8
 
7
21
3
Mtibwa Sugar
11
4
6
1
13
7
 
6
18
4
Polisi Moro
13
4
6
3
10
9
 
1
18
5
JKT Ruvu
13
5
3
5
13
13
 
0
18
6
Ruvu Shooting
13
5
3
5
9
10
 
-1
18
7
Coastal Union
13
4
5
4
10
9
 
1
17
8
Simba
12
3
7
2
13
11
 
2
16
9
Kagera Sugar
13
3
6
4
10
11
 
-1
15
10
Mbeya City
12
4
3
5
8
10
 
-2
15
11
Mgambo JKT
11
4
2
5
6
10
 
-4
14
12
Ndanda FC
13
4
2
7
12
17
 
-5
14
13
Stand United
13
2
5
6
8
16
 
-8
11
14
Tanzania Prisons
12
1
7
4
9
11
 
-2
10

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad