![]() |
|
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, Bw.William Lukuvi, akijibu hoja za kamati na Wabunge mjini Dodoma Jana
Februari 03,2015.
|
![]() |
|
Waziri wa Maliasili na Utalii,Bw. Lazaro Nyalandu
akijibu hoja Bungeni kuhusu wizara yake.
|
![]() |
|
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Profesa
Jumanne Maghembe akijibu hoja za kamati hoja za kamati.
|
![]() |
|
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Kilimo, Mifugo na Maji, Said Nkumba akiwasilisha taarifa ya kamati yake. Picha
na Hussein Makame-MAELEZO,Dodoma.
Hussein Makame-MAELEZO,Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi , amesema Serikali itahakikisha inapambana na watu wote wanaoendesha vitendo vya dhuluma, matapeli na wanaonyang’anya viwanja, majengo, mashamba na ardhi za wanyonge. Waziri Lukuvi ametangaza azma hiyo wakati akijibu baadhi ya hoja za Wabunge waliochangia Taarifa ya Kamati ya Bunge, ya Ardhi, Maliasili na Mazingira iliyowasilishwa na kupitishwa Bungeni mjini Dodoma. Alisema anatambua kwamba hasa maeneo ya mijini kuna dhuluma nyingi zinafanyika ambapo masikini, mayatima na wajane wanadhulumiwa na kunyang’anywa ardhi na majengo yao.,:-BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI |



.jpg)
.jpg)
.jpg)



No comments:
Post a Comment